Ajira za walimu zimepotelea wapi?

Hamna sio hawa ni wale Mbao wapo kwenye mfumo
 
Subiri next week wanatoa PDF. kuwa mpolee.
 
Jamani hakuna pdf itatoka bila interview utumishi kwaiyo huu mwezi msisubirie pdf kwamba itatoka ni mpaka interview zianze January 17
Hizi habari za gpa ni kudanganyana coz hakuna tangazo lolote serikali imelitoa kuonyesha namna hiyo. Hivyo basi watu msiache kujiandaa na interview maana January ndio watatangaza interview ili walimu wakaripoti March. Maana mwaka ujao serikali haitoajiri Tena waalimu inataka hizi nafasi za mwaka huu ndio zizibe gepu la kuajiri mwakani.simnajua siasa au mpaka mkumbushwe
 
Umwchanganyikiwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…