Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,057
Eti leo 27 Mei 2019 haahaha sinema ndo zinaanza hapo sasa
Angalia kwanza tarehe ya kwenye ilo tangazo walivyoiandkaHII HABARI HAIPO...
Usipende kupinga kila kitu majina yashatoka Mkuu kama haupo basi jipange na muombe MUNGU next time nasi kubatilisha habari😂😂acha kupotosha umma...View attachment 1082640View attachment 1082640
Kama unaweza unafki lakin kama huwezi utajikuta segereaKukipamba chama cha mapinduzi inaweza kuwa sehemu ya kazi halali ?
Trust me waalimu bado sio wengi kwa kiasi cha kusema hakuna nafasi yakuajiri wengine wapya ni maamuzi tu ya serikaliKila mtu akakimbilia huko hatimaye wamekua wengiiii