Ni mkakati madhubuti wa ucheleweshaji ajira kwa kuongeza makundi ya kuomba ajira ili yahakikiwe kwa miezi kibao mbele. Hapo ni sayansi tu sarakasi yake toka DECEMBER itafika hadi JUNE huko basi Sanaa hiyo ndo itaenda hadai 2018. Ajira zote zitatolewa baada ya uhakiki wa makundi yote. Kweli ajira hizi ni hadi 2019
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.