Ajira za walimu sekondari 2013

Ajira za walimu sekondari 2013

BROWN ANGEL

Member
Joined
May 8, 2011
Posts
5
Reaction score
1
Naombeni msaada wenu wana jf, post za ualimu sekondari ni lini maana nimesikia tu jama naibu waziri kazungumza ila sijajua ni lini amesema atatoa post hizo.
 
Hadi sasa hicho ni kitendawili kigumu kuteguliwa, naona wamezidi kusema mambo kwenye mchakatato hivi karibuni tutatoa, ndo basi tena
 
Mi naona kama tuendelee kusubiri inaonekana chungu kipo jikoni muda wote kitaipuliwa maana hata Website yao iko so bussy!
 
Sasa tusubiri kwanza iundwe tume maalumu ya kufuatilia suala hili kwa umakini zaidi, Du!....
 
Sina mpango tena ngoja nikomae tu na Private school. ubabaishaji tu serikalini.
 
Hadi website yao wameamua tusi itembelee kabisa sijui ndo wamefulia "Suspended Domain" kila siku kesho nitawaibukia hukohuko wizarani nitakinukisha mpaka wanipe majibu alafu nitawaletea humu watu washavurugwa still wao wanendekeza politics bhana jinga sana!
 
Taarifa ziczo rasm mpaka bunge liishe ndo watapost af wa2 weng wamepangwa kulingana na anwan zao. Km anwani yako ni loliondo umepangwa loliondo.
 
mmhhhhhh!!!!
yani hadi nahis kuizalilisha digrii yangu ya elimu mtaani coz miez 8 sasa no tamko loloteee
 
mh! Ngoja tuwackilizie, yani tunashindwa kuandika mkataba mpya private!

kama unapigwa pesa ya maana piga nao mkataba mpya na private then jiendeleze uo ndo mpango mzima ila kama laki...usikubal
 
Back
Top Bottom