Dr Salla
Member
- Aug 22, 2013
- 16
- 22
Tuna Upungufu wa Walimu Mashuleni wakati walimu wapo Mtaani wanazurura. Tunadaiwa tril.22 na bado tunakopesheka badala ya kusema kuwa tuna uwezo wa kulipa. Nitatangaza majina ya wabunge wa bunge maalum la katiba Jumatatu au Jumanne mwisho Mhe. awaasa viongozi wa vyama vya siasa kuhusiana na kuacha misimamo yao kwenye bunge la katiba.
Hii Ndiyo Tanzania. Hatma yake ni ipi?
Hii Ndiyo Tanzania. Hatma yake ni ipi?