Yaani walimchagua Matayo kwa ushaabiki tu huyu jamaa ni msanii sana wasitegemee atawasaidia. Yeye ni mtu wa kujipendekeza kwa JK ili apewe uwawaziri. Na hii ndo itakuwa mwisho wake sasa sijui atarudi tena chini kuongea na washikaji wake wa wakati ule. M4C hatuendekezi kuwapa watu vyeo kwa urafiki you don't deliver you go.