Ajira za uwalimu

Ajira za uwalimu

tapito

Member
Joined
Nov 20, 2016
Posts
14
Reaction score
5
Iv na waliomaliza 2016 wao awausiki na ajira zitakazo toka ? Mbona wao wajahambiwa watume vyeti
 
mheshimiwa waziri amesema ikama ya walimu wa masomo ya sanaa inatosha na kuna ziada watakachofanya ni kuhamisha walimu kutoka walikolundikana mpaka kwenye upungufu.Swali langu mbona hawajatupa takwimu ya walimu waliopo kwa kila somo la sanaa na mahitazji na hiyo ziada maana isije ikawa ziada ipo kumbe kwenye somo moja au mawili tu
 
Ccm nawachukia sana lakin kuajir mtu kama ww kwa uandish huu. YAN MKUU UNATAKA UAJIRIWE THEN UJE UFUNDISHE WATOTO WETU HUKU? Acha masihara
 
mheshimiwa waziri amesema ikama ya walimu wa masomo ya sanaa inatosha na kuna ziada watakachofanya ni kuhamisha walimu kutoka walikolundikana mpaka kwenye upungufu.Swali langu mbona hawajatupa takwimu ya walimu waliopo kwa kila somo la sanaa na mahitazji na hiyo ziada maana isije ikawa ziada ipo kumbe kwenye somo moja au mawili tu
WEKA HAPA USHAHIDI WA VIDEO AKISEMA.
 
Iv na waliomaliza 2016 wao awausiki na ajira zitakazo toka ? Mbona wao wajahambiwa watume vyeti
Iv,??? awausiki ??? wajahambiwa kama ni mwalimu wamefanya jambo jema kuto kukuajiri maana ingekuwa shida tupu
 
Back
Top Bottom