Sababu wanayo toa ndio iyo barua aijawa addressed to psrsNot shortlisted inasababu kibao na uwa wanatoa maelekezo yao aswa kwenye document za kuattach ajira portal usipovifuata wanakula kichwa ,aswa certified certificates
Hawa Jamaa ni Wabishi sana mpaka Wakatwe Vichwa kwanza ndio akili zinawarudi kenge hua hawasikii mpaka Masikio yaanze kutoka DamuSio anabisha Kuna mifano hai ishatoke , tangazo liko addressed kwa kamishna wa misitu bado wanakwambia not shortlisted ujaweka anwani ya psrs
Posts uwa zinawekwa ajira portal kwa ajili ya kuapply ila pdf za matango uwa lazima zinawekwa kwenye website secretariat ya ajira katika utumishi wa umma,Kama iyo kazi unaomba kupitia utumishi apo ndio changamoto inaweza tokea bila kutegemea pdf ya tangazo
Nadhani wanabisha wakiwa hawana mifano dhahiriHawa Jamaa ni Wabishi sana mpaka Wakatwe Vichwa kwanza ndio akili zinawarudi kenge hua hawasikii mpaka Masikio yaanze kutoka Damu
Sasa ajira portal sindio sekretaieti ya ajiraPosts uwa zinawekwa ajira portal kwa ajili ya kuapply ila pdf za matango uwa lazima zinawekwa kwenye website secretariat ya ajira katika utumishi wa umma,
Mkuu ipo hivi ukituma barua kwenda Utumishi PSRS na ukiweka Address tofauti na ya kwao ukajifanya wewe mjuaji sana yaan wewe ndio kichwa sana kuliko wao ukajiwekea Address ya Mteja wao aliewaletea Tenda ya hio Ajira na ukawatumia wao Utumishi yaan haraka sana wanakukata Kichwa Chako yaan hawacheki na wewe kabisa utavuna mabua mapema mnoNot shortlisted inasababu kibao na uwa wanatoa maelekezo yao aswa kwenye document za kuattach ajira portal usipovifuata wanakula kichwa ,aswa certified certificates
Wana website na portalSasa ajira portal sindio sekretaieti ya ajira
Ok nmekupataWana website na portal
Zote ni websites mkuu ila moja domain (ajira.go.tz) nyingine ni sub domain (portal.ajira.go.tz)Wana website na portal
Soma tangazo la ajiraNinaomba msaada wadau ninapoandika barua ya maombi utumishi address yao lazima iandikwe kwa Secretary, PSRS?
Mkuu, em acha kukaza kichwa, Ww ndo unapotosha.Address ni Utumishi PSRS nothing else ukiandika tofauti wanakula Kichwa Chako bila Huruma hata kidogo
View attachment 3440409
Sijapotosha nimeeleza km nilivyoulizwaMkuu, em acha kukaza kichwa, Ww ndo unapotosha.
Sio kila post address inaenda kwa PSRS, acha ubishi.