Ahahahahahaaaaaaaaaa-hawa wadogo zetu ni janga mkuu,
Kuna mmoja jana kaleta ofisi kwetu application letter kwenye bahasha yake na copy za vyeti viko bahasha bahasha ingine....eti ni graduate wa Muhimbili University.
Tafadhari naomba ufafanuzi CPA ndo nini ili niende kukomaa nao inaweza ikanitoa
Tafadhari naomba ufafanuzi CPA ndo nini ili niende kukomaa nao inaweza ikanitoa
Umesoma shahada ya UHASIBU na hujui CPA ni nini?!
Amazing!!
ha ha ha ha ha. Nilikua na mpango wa kukupm ila umenikatisha tamaaMheshimiwa hebu nieleweshe kuhusu CPA maana sina idea kabisa na kitu hicho
Kwa mwaka wanamaliza zaidi ya Wahasibu 7000 kutoka vyuo vya Udsm,tia,cbe dsm dodoma na mbeya,ifm,arusha,kiu,mzumbe,saut.Bila kukomaa na CPA ajira ni ngumu.
Umesoma shahada ya UHASIBU na hujui CPA ni nini?!
Amazing!!
Mheshimiwa hebu nieleweshe kuhusu CPA maana sina idea kabisa na kitu hicho