Ajira za uhamiaji zapelekwajkt

Ajira za uhamiaji zapelekwajkt

mukandala

Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Kutokana na urasimu, ubadhilifu na utapeli uliojitokeza katika mchakato wa kuajiri nguvukazi katika idara ya uhamiaji, imebainika dhahiri kwamba hata utendaji kazi wao ungefanana mojakwamoja na yale yaliyojitokeza katika kupatikana kwao. Kamati ndogo iliyoundwa ilipendekeza mchakato wa ajira hizo ufanywe na wizara. Hata hivyo, hiyo imeonekana sio suluhisho bali ni kuongeza tatizo kwani viongozi wengi wa wizara pia wanna ndugu na jamaa zao ambao wanatamani waajiriwe katika idara hiyo. Pamoja na hayo, idara husika ya uhamiaji ipo chini ya wizara hivyo viongozi na mambo huenda yakawa yaleyale. Ili kuepusha yote hayo, imependekezwa kuwa ajira hizo zipelekwe kwa vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwani kuna wengi wenye sifa na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli hizo.
 
Kutokana na urasimu, ubadhilifu na utapeli uliojitokeza katika mchakato wa kuajiri nguvukazi katika idara ya uhamiaji, imebainika dhahiri kwamba hata utendaji kazi wao ungefanana mojakwamoja na yale yaliyojitokeza katika kupatikana kwao. Kamati ndogo iliyoundwa ilipendekeza mchakato wa ajira hizo ufanywe na wizara. Hata hivyo, hiyo imeonekana sio suluhisho bali ni kuongeza tatizo kwani viongozi wengi wa wizara pia wanna ndugu name jamaa Zhao ambao wanatamani waajiriwe katika idara hiyo.

mkuu mbona kwenye tarifa yako hakuna sehemu ambayo umeandika kuonesha kama hizo ajira zimepelekwa jk?
 
Back
Top Bottom