Ajira za ualimu

Hujalazimishwa kuchangia, tatizo la huyo Jamaa sio lako. Yawezekana ajira kwake ndiye mwokozi kwake bhana, kama hujiskii kusoma au kuchangia skip it please
Ahsante sana kwa ushauri.
 
Tena muuliza swali wewe huwezi kupata *Ajira* nenda kasome sayansi mana mwaka huuu BAED _HK ,GK hatuwajiri
Uhakika umeupata wapi kuwa BAED hakuna ajira? Je na hao wa sayansi ajira zinatoka lini?
 
Subiri tumalize kuhakiki watumishi hewa kwanza, Tangulia Dodoma.
 
Naomba msaada kujua je Ajila za ualimu mwaka huu zinaweza kutolew pamoja nikimaanish kwa wale wahitimu wa mwaka jana na wa mwaka huu wanaweza toa ajila kwa wote
We ni mwalimu? Unafundisha masomo yapi kwa ngazi ipi?
 
Stress tu, Mleta mada anaweza akawa ana shahada lakini msongo wa mawazo unamfanya ashindwe kutofautisha Ajira NA Ajila. Mbona Kuna kigogo aliwahi sema SADAM Hussein alikuwa Rais Quwait ?
 
Kama hamuwezi kumsaidia MTU kumpatia jibu basi acheni tu,mnaandika ujingaujinga....si lazima umjibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…