Mchakato wa ajira mpya upo ukingoni. Hatua muhimu zinakamilishwa baada ya kikao 'elekezi' kati ya TAMISEMI (Mh. Kassim Majaliwa) na maafisa Elimu wa Mikoa na Wilaya.
Jiandae hapo baadaye kidogo kufanya kazi kijijini. Jiandae mapema kuwa mtumishi mwaminifu kwa serikali (mwajiri) na kwa jamii.