Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,214 Reaction score 20,988 Apr 12, 2023 #61 MCT kana kwamba kama hawataki watu waajiriwe, huu utaratibu wa CPD points kwenye ku renew leseni ni wa ovyo sana
MCT kana kwamba kama hawataki watu waajiriwe, huu utaratibu wa CPD points kwenye ku renew leseni ni wa ovyo sana
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,243 Apr 12, 2023 #62 Acha kupotosha watu mkuu, Mbona umeng'ang'ana sana na hiyo mhuri.. Tamisemi wanataka original certificate,,, Ila kama una copy ya vyeti kapige hiyo mihuri..... Sasa kwa nini ule ugali na mchuzi wa maharage, wakati maharage yapo.
Acha kupotosha watu mkuu, Mbona umeng'ang'ana sana na hiyo mhuri.. Tamisemi wanataka original certificate,,, Ila kama una copy ya vyeti kapige hiyo mihuri..... Sasa kwa nini ule ugali na mchuzi wa maharage, wakati maharage yapo.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,554 Reaction score 105,342 Apr 12, 2023 #63 Mbaga Jr said: Mm n camera operator sehemu flan hv, nmesoma diploma in film production. Ukipita mada zangu za 2018 utathibitisha. Click to expand... Naomba niwathibitishie wana Jf kuhusu hili...🤝
Mbaga Jr said: Mm n camera operator sehemu flan hv, nmesoma diploma in film production. Ukipita mada zangu za 2018 utathibitisha. Click to expand... Naomba niwathibitishie wana Jf kuhusu hili...🤝
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,163 Reaction score 104,756 Apr 12, 2023 #64 Guires_Criger said: Acha kupotosha watu mkuu, Mbona umeng'ang'ana sana na hiyo mhuri.. Tamisemi wanataka original certificate,,, Ila kama una copy ya vyeti kapige hiyo mihuri..... Sasa kwa nini ule ugali na mchuzi wa maharage, wakati maharage yapo. Click to expand... Jamaa anataka watu wapungue wabaki wachache 😂
Guires_Criger said: Acha kupotosha watu mkuu, Mbona umeng'ang'ana sana na hiyo mhuri.. Tamisemi wanataka original certificate,,, Ila kama una copy ya vyeti kapige hiyo mihuri..... Sasa kwa nini ule ugali na mchuzi wa maharage, wakati maharage yapo. Click to expand... Jamaa anataka watu wapungue wabaki wachache 😂
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,163 Reaction score 104,756 Apr 12, 2023 #65 Ushimen said: Naomba niwathibitishie wana Jf kuhusu hili...🤝 Click to expand... Unajua ww jamaa nilikuwa na namba yako, ila cjui ikawaje 😂
Ushimen said: Naomba niwathibitishie wana Jf kuhusu hili...🤝 Click to expand... Unajua ww jamaa nilikuwa na namba yako, ila cjui ikawaje 😂
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,554 Reaction score 105,342 Apr 12, 2023 #66 Mbaga Jr said: Unajua ww jamaa nilikuwa na namba yako, ila cjui ikawaje 😂 Click to expand... Never mind...😊 mimi bado ninayo yakwako...☺
Mbaga Jr said: Unajua ww jamaa nilikuwa na namba yako, ila cjui ikawaje 😂 Click to expand... Never mind...😊 mimi bado ninayo yakwako...☺
Asalamaleko JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 2,802 Reaction score 7,936 Apr 12, 2023 #67 NYIE WATOTO MWENZENU ANAWASHAURI KU CERTIFY VYETI MNAMPINGA... Endeleeni kujifanya wajuaji wakat hata makamasi ya chuo hayajawakauka...
NYIE WATOTO MWENZENU ANAWASHAURI KU CERTIFY VYETI MNAMPINGA... Endeleeni kujifanya wajuaji wakat hata makamasi ya chuo hayajawakauka...
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,163 Reaction score 104,756 Apr 12, 2023 #68 Asalamaleko said: NYIE WATOTO MWENZENU ANAWASHAURI KU CERTIFY VYETI MNAMPINGA... Endeleeni kujifanya wajuaji wakat hata makamasi ya chuo hayajawakauka... Click to expand... Lazima tupinge mkuu, ili tubaki wachache c unaona tena raia ni wengi kuliko nafasi.? Lazima tukae kimkakati.
Asalamaleko said: NYIE WATOTO MWENZENU ANAWASHAURI KU CERTIFY VYETI MNAMPINGA... Endeleeni kujifanya wajuaji wakat hata makamasi ya chuo hayajawakauka... Click to expand... Lazima tupinge mkuu, ili tubaki wachache c unaona tena raia ni wengi kuliko nafasi.? Lazima tukae kimkakati.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,163 Reaction score 104,756 Apr 12, 2023 #69 Ushimen said: Never mind...😊 mimi bado ninayo yakwako...☺ Click to expand... Em fanya kama unanitumia namba ako pm
Ushimen said: Never mind...😊 mimi bado ninayo yakwako...☺ Click to expand... Em fanya kama unanitumia namba ako pm
Waugwadu JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 520 Reaction score 922 Apr 12, 2023 #70 Guires_Criger said: Sioni umuhimu wa kuapload copy wakati original unayo. Ambayo unaweka mfumo wa PDF, Click to expand... Kuna copy ya rangi mkuu ambayo unacertify na inakua na muonekano kama OG. Anyway usifanye kisichoainishwa kwenye tangazo la kazi.
Guires_Criger said: Sioni umuhimu wa kuapload copy wakati original unayo. Ambayo unaweka mfumo wa PDF, Click to expand... Kuna copy ya rangi mkuu ambayo unacertify na inakua na muonekano kama OG. Anyway usifanye kisichoainishwa kwenye tangazo la kazi.
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,029 Reaction score 11,926 Apr 12, 2023 #71
BOFREE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 1,057 Reaction score 1,450 Apr 13, 2023 #72 DOMINGO THOMAS said: Kwenye system zote za serikali lazima tu-upload vyeti vilivyo kuwa certified i.e Ajira Portal Click to expand... acha kukalili iyo sio PSRS na hawajasema mambo ya kucertisfy kijana
DOMINGO THOMAS said: Kwenye system zote za serikali lazima tu-upload vyeti vilivyo kuwa certified i.e Ajira Portal Click to expand... acha kukalili iyo sio PSRS na hawajasema mambo ya kucertisfy kijana
Sharbel JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,689 Reaction score 3,233 Apr 13, 2023 #73 Marco Polo said: MCT kana kwamba kama hawataki watu waajiriwe, huu utaratibu wa CPD points kwenye ku renew leseni ni wa ovyo sana Click to expand... Ikoje hiyo mkuu
Marco Polo said: MCT kana kwamba kama hawataki watu waajiriwe, huu utaratibu wa CPD points kwenye ku renew leseni ni wa ovyo sana Click to expand... Ikoje hiyo mkuu
M msofechris Member Joined Aug 28, 2022 Posts 11 Reaction score 32 Apr 13, 2023 #74 Ila kumbukeni wa kiswahili,geography,history,civics bado tunao wakipungua tutawaambia
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #75 Zant Garr said: Tamisenga Click to expand... 😂
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #76 Mbaga Jr said: Lazima tupinge mkuu, ili tubaki wachache c unaona tena raia ni wengi kuliko nafasi.? Lazima tukae kimkakati. Click to expand... Mnapinga ili wengine wakosee....!?
Mbaga Jr said: Lazima tupinge mkuu, ili tubaki wachache c unaona tena raia ni wengi kuliko nafasi.? Lazima tukae kimkakati. Click to expand... Mnapinga ili wengine wakosee....!?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,721 Reaction score 126,568 Apr 13, 2023 #77 DOMINGO THOMAS said: Huyu alikosa kazi kwasababu haja verify vyeti Ajira portal Click to expand... Hakuitwa kwenye usahili. Ili tuseme mtu amekosa kazi ni baada ya kufanya usahili hatua zote
DOMINGO THOMAS said: Huyu alikosa kazi kwasababu haja verify vyeti Ajira portal Click to expand... Hakuitwa kwenye usahili. Ili tuseme mtu amekosa kazi ni baada ya kufanya usahili hatua zote
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #78 Mwifwa said: Hakuitwa kwenye usahili. Ili tuseme mtu amekosa kazi ni baada ya kufanya usahili hatua zote Click to expand... Sawa
Mwifwa said: Hakuitwa kwenye usahili. Ili tuseme mtu amekosa kazi ni baada ya kufanya usahili hatua zote Click to expand... Sawa
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,214 Reaction score 20,988 Apr 13, 2023 #79 Sharbel said: Ikoje hiyo mkuu Click to expand... Huwez ku renew leseni mpaka uwe na CPD points kuanzia 20.
Sharbel said: Ikoje hiyo mkuu Click to expand... Huwez ku renew leseni mpaka uwe na CPD points kuanzia 20.
Sharbel JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,689 Reaction score 3,233 Apr 13, 2023 #80 Marco Polo said: Huwez ku renew leseni mpaka uwe na CPD points kuanzia 20. Click to expand... Hii ni nyepesi wala, siwalaumu
Marco Polo said: Huwez ku renew leseni mpaka uwe na CPD points kuanzia 20. Click to expand... Hii ni nyepesi wala, siwalaumu