Ajira za serikali

kebi kebi

Member
Dec 16, 2016
81
36
Ajira za mwaka huu ni teuzi za wakubwa ili sisi tufe njaa asante sana mkuu wa kaya kwa kuajili wakubwa tu
 
kwani hili umelijua leo mkuu?
sijalijua leo... ila sasa imekuwa too much.. rais hajali wananchi wake.. watu wanakufa tu yeye anakenua meno... wasomi wanahangaika yeye anakula bata... hapana aisee imetosha.. yaan hata tungeweka paka asingefanya haya!!!!
 
hahahaha, na huwa inauma zaidi kama ulimpigia kura halafu anakuadhiri kiasi hiki
 
sikupiga kura kabisa... sema kanikera sana... yaan hata mikopo ukichukua unajikuta biashara imekufa na una bonge la deni hujui hata utalipaje!
 
sijalijua leo... ila sasa imekuwa too much.. rais hajali wananchi wake.. watu wanakufa tu yeye anakenua meno... wasomi wanahangaika yeye anakula bata... hapana aisee imetosha.. yaan hata tungeweka paka asingefanya haya!!!!
nilishangaa sana kusikia eti mkopo kwa equivalent(diploma) haipo tena....yeye marafiki zake ni polisi na wanajeshi ndo watamsaidia 2020
 
sijalijua leo... ila sasa imekuwa too much.. rais hajali wananchi wake.. watu wanakufa tu yeye anakenua meno... wasomi wanahangaika yeye anakula bata... hapana aisee imetosha.. yaan hata tungeweka paka asingefanya haya!!!!
Ananyosha nchi maana watanzania walikuwa hawajitambui. Hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom