Wadau naomba mwenye taarifa na kazi za NHIF anijuze kama tayari wameita watu kwa ajili ya Interview.
Tafadhali.
ha ha ha ha,we subir
bhana,mi kuna mtu nimemuuliza kanambia bado hawajaita,na wakiita wanaita
woooooteeeee mliotuma,vp utachomoka hapo
Yote heri tu mkuu....tusubiri tuone itakuwaje