Ajira za Makumbusho ya Taifa na GPA

Ajira za Makumbusho ya Taifa na GPA

Habari wadau!

Hawa jamaa wametangaza kazi lakini wameweka limit ya GPA.

Sasa kuna post inataka gpa ya 3.5 na mi nina 3.4 ila nina uzoefu katika kazi hiyo na ndio ninayofanya sasa, hivi niombe hivyo hivyo au watanichinjia tu baharini?

dumejike hata kama una GPA ya 10000 jinsia yako itakukwaza,hata pale wana vyoo vya ke na me,hata fomu za ajira zina sehemu ya ke ne me,nenda kwa obama
 
Last edited by a moderator:
dumejike hata kama una GPA ya 10000 jinsia yako itakukwaza,hata pale wana vyoo vya ke na me,hata fomu za ajira zina sehemu ya ke ne me,nenda kwa obama

Hahaa hio ni username tu usiogope
 
Last edited by a moderator:
napita 2. ila tufuate maelekezo ya matangazo ya kazi.
 
Mkuu hilo tangazo lao linapatikana wapi? Naomba msada please
 
fumba macho apply...kwani ngapi umeomba na umekosa...sembuse hiii
 
Habari wadau!

Hawa jamaa wametangaza kazi lakini wameweka limit ya GPA.

Sasa kuna post inataka gpa ya 3.5 na mi nina 3.4 ila nina uzoefu katika kazi hiyo na ndio ninayofanya sasa, hivi niombe hivyo hivyo au watanichinjia tu baharini?

Mkuu, kuna maana yake katika kutangaza GPA 3.5+, Shirika la Makumbusho ya Taifa ni taasisi ya uhifadhi na uendelezaji wa urithi wa utamaduni (malikale) unaohamishika, kwa maana hiyo ni taasisi ya Kisayansi. Lengo la kuomba GPA hiyo kwa kada Tendaji kama vile "Conservators", "Education Offers" au "Curators" ni kuwezesha watumishi watakaoajiriwa kuwa rahisi kuwaendeleza katika vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi katika masomo ya ngazi za juu - Masters, Drs, nk. Kwa hiyo kama una GPA chini ya ile iliyotangazwa usijisumbe kuomba, vinginevyo, mchujo wa kwanza unaanza na barua yako kwa kuangalia wenye GPA za chini.
 
Back
Top Bottom