Ajira za Makumbusho ya Taifa na GPA

Ajira za Makumbusho ya Taifa na GPA

dumejike

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
325
Reaction score
68
Habari wadau!

Hawa jamaa wametangaza kazi lakini wameweka limit ya GPA.

Sasa kuna post inataka gpa ya 3.5 na mi nina 3.4 ila nina uzoefu katika kazi hiyo na ndio ninayofanya sasa, hivi niombe hivyo hivyo au watanichinjia tu baharini?
 
Utakatwa tu..usijisumbue.

Wewe peleka tu kwani GPA hiyo wanatafuta waalimu, wewe jaribu kama gharama siyo kubwa (certified vyeti ni gharama kwani mawakili wa bongo wanadai 20,000/= kwa kila cheti siku hizi). Kuna uwezekano wasipate hao watu hivyo wewe ukapeta. Usiwasikilize wakatisha tamaa kama jamaa hapo juu.
 
Afu kama ulikua hujui,process ya interview inaanzia wkt wa application,ukishndwa kufuata maelekezo ni kwamba umefeli tayari.
 
Jaribu huwezi jua wanaweza wasipate hao wanaowataka wakakuchukua wewe. Kikubwa mtangulize Mungu
 
Habari wadau!

Hawa jamaa wametangaza kazi lakini wameweka limit ya GPA.

Sasa kuna post inataka gpa ya 3.5 na mi nina 3.4 ila nina uzoefu katika kazi hiyo na ndio ninayofanya sasa, hivi niombe hivyo hivyo au watanichinjia tu baharini?

watakukata 2
 
Wewe peleka tu kwani GPA hiyo wanatafuta waalimu, wewe jaribu kama gharama siyo kubwa (certified vyeti ni gharama kwani mawakili wa bongo wanadai 20,000/= kwa kila cheti siku hizi). Kuna uwezekano wasipate hao watu hivyo wewe ukapeta. Usiwasikilize wakatisha tamaa kama jamaa hapo juu.

Hivi ni lazima vyeti viwe certified? Mbona mimi sijawahi kucertify changu hata kimoja? Au ndo mana sipat kazi?
 
Siyo lazima bali kama wameweka "condition" hiyo hakikisha una - certify vinginevyo tuma tu copy. Pia mashirika maengine hivi sasa wanadai utume CV tu
 
kazi nyingi za kutoka serikalini huwa zinahitaji GPA nzuri!
 
Back
Top Bottom