Yusomwasha JF-Expert Member Dec 5, 2014 2,092 835 Aug 26, 2016 #1 Naulizia, Ajira rasmi za maendeleo ya jamii kwa level ya degree, diploma na cheti huwa ni mwezi wa ngapi??? Nawasilisha
Naulizia, Ajira rasmi za maendeleo ya jamii kwa level ya degree, diploma na cheti huwa ni mwezi wa ngapi??? Nawasilisha
soul provider JF-Expert Member Jun 21, 2014 1,330 2,071 Aug 26, 2016 #3 Bwana mdogo tuliza mchecheto, hayo makitu anza kuulizia kwenye sept.
DEPETERO JF-Expert Member Jul 29, 2016 815 580 Aug 27, 2016 #4 Ajira zoote zimepigwa bann na timu ya maxence mello