AJIRA ZA KAZI. EAST DIRECT

AJIRA ZA KAZI. EAST DIRECT

EAST DIRECT

Member
Joined
Dec 2, 2017
Posts
10
Reaction score
5
EAST DIRECT.
Habari njema kwa vijana wanao hitaji kufanya kazi.
FANYA KAZI ILI UTIMIZE MALENGO YAKO.

SIFA ZA MWOMBAJI.
Umri miaka 18 >> 34
Jinsia zote.
Elimu darasa la saba mpaka chuo.
Afya njema
Fata kilicho kuleta.

MAFANIKIO HUJA KWA MTU ANAYE PENDA KUJITUMA. Mithali 10:4

NAFASI.
Store keeper
Secretary
Upangaji
Usafi
Muhakiki kazi
Uzalishaji

NB: VIBARUA WANAFASI ZA KAZI ZA ZIADA PIA WANAHITAJlKA

*KUJIUNGA NAFASI ZA KAZI NI BURE.

SIMU
0717497666
0656222901
Email.eastdirectmarketing@gmail.com
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungepiga tu mkuu nafsi yako itulie
Tangazo lako halijakamilika, mpo wapi na mnajihusisha na nini! Maana niliwahi kwenda sehemu kwa kufuata tangazo kama hili, kuiona tu ofisi na mtu anayetakiwa kuni asses nilitaman kupga yowe!
 
Tangazo lako halijakamilika, mpo wapi na mnajihusisha na nini! Maana niliwahi kwenda sehemu kwa kufuata tangazo kama hili, kuiona tu ofisi na mtu anayetakiwa kuni asses nilitaman kupga yowe!
Mimi nilikutana na wauza mabeseni [emoji23][emoji23] hapo nimetoka kuumwa malaria nikifikiria kutembeza mabeseni mbona nilichokaaa
 
Ajira za kazi?

Anyway ungetoa utangulizi wa kampuni yenu inajishughulisha na nini ndio matangazo ya kazi huenda hivyo pia wajibu na majukumu ya kila kazi ili mtu ajue kazi anayoomba inamfaa au haimfai
Mkuu hapo kutembeza chupa za chai hamna kingine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungepiga tu mkuu nafsi yako itulie
Yaan acha kabsa nilienda nipo smart sana , walisema mshahara kuanzia 350k- 450k, nafka assessor kavaa malapa ya buku mda huo nilishatoa elf3 kwa ajil ya fomu, nmelipa nauli ya daladala, nmepigilia pamba za kiofis halafu daah hahahaha , naambiwa nikatembeze vibesen na chupa za chai
 
Mimi nilikutana na wauza mabeseni [emoji23][emoji23] hapo nimetoka kuumwa malaria nikifikiria kutembeza mabeseni mbona nilichokaaa
Hahaaaa hata Mimi ni hao nilikutana nao na jua la dar nikasema aaah wap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom