M MBEKOMIZE Member Joined May 30, 2013 Posts 22 Reaction score 2 Mar 13, 2014 #1 Nimeanzisha Biashara ya kuuza udaga wa jumla hivyo kwa yeyote anayeweza kuwa na udaga anitafute kwa namba hizo hapo :0756756122 au 0682798686
Nimeanzisha Biashara ya kuuza udaga wa jumla hivyo kwa yeyote anayeweza kuwa na udaga anitafute kwa namba hizo hapo :0756756122 au 0682798686
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,407 Reaction score 2,272 Mar 13, 2014 #3 Udaga ndo UNGA WA MUHOGO jamani, naona mtoa mada kaandika kikanda ya ziwa.
M Mama Joe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,504 Reaction score 851 Mar 13, 2014 #4 Makubwa! mie nikajua dagaa / samaki wadogo
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,152 Reaction score 7,423 Mar 13, 2014 #5 Wateja wanakuja