Ajira ya vodacom service desk

watu kama van mab wapo wengi sana humu, wanatafuta wachumba sometimes kwa kigezo cha kazi
any way, yote maisha, wasipotapeliwa hapa, watapigwa kwingine...
utapeli wakati mwingine hauzuiliki maana upo kwa kila njia...
Kwa wasiojitambua kama wewe
 
Wengi wenu hamjamuelewa mleta mada na kumshutumu kuwa ni tapeli. Iko hivi, fikiria TBL wanamuuzia bia mwenye bar. Mwenye bar anatangaza nafasi ya waiter wa kuuza bia za TBL, Je utapelekaje maombi TBL badala ya kwa mwenye bar?
Huyu mleta mada anaonekana ni wakala wa VODA na hivyo anatafuta mfanyakazi kwa ajili ya duka lake la kutoa huduma za bidhaa za voda. So maombi hayawezi kwenda kwa HR wa Voda.
 
km kweli ww unataka kusaidia watu kasaidie kwanza ndg zako huko...huu utaperi sio eti umetoa contact km kwel ww unatoa kaz mbn hujatangaza waje ofisin kwako...!waelekeze hapo ofic yako ipo wapi waje sio unatoa minamba yako ya sim ulioisajil kifake fake..
Sihitaji kusaidia mtu.. na sina uwezo wa kusaidia zaidi ya kutoa Ajira.. na sio lazima uwe wewe au nduguyo
 
Wengi wenu hamjamuelewa mleta mada na kumshutumu kuwa ni tapeli. Iko hivi, fikiria TBL wanamuuzia bia mwenye bar. Mwenye bar anatangaza nafasi ya waiter wa kuuza bia za TBL, Je utapelekaje maombi TBL badala ya kwa mwenye bar?
Huyu mleta mada anaonekana ni wakala wa VODA na hivyo anatafuta mfanyakazi kwa ajili ya duka lake la kutoa huduma za bidhaa za voda. So maombi hayawezi kwenda kwa HR wa Voda.
Umenena mkuu..
 
Tatizo la waswahili kujitia kujua kila kitu..hata uwe na PhD,huwezi jua kila kitu.. na ukiuliza hutaonekaza zuzu
 
Anahitajika mtu wa kufanya kazi VODACOM service desk (vodashop ndogo)..mombasa (Dar)

Kazi..

.Awe na uwezo wa kutafuta soko la simu na voucher za kuuza Jumla.
.line swap
.kusajili line na kazi zingine

Sifa..
.Awe msichana , umri 18 -25
.Anayeishi mombasa atapewa kipaumbele
.Ajue kutumia computer vizuri.
.Awe na uwezo wa kujieleza

Mwenye sifa tu, awasiliane na 0715407508
mkuu nimekupm pls naomba unijibu huko pls
 
Watu hawajaelewa na tangazo na wanajifanya wajuaji pole mtoa mada ila walikuita tapeli hakuna hata mmoja aliye elewa ila wamekurupuka tu
 
Back
Top Bottom