Ajira ya vodacom service desk

van mab

Senior Member
Dec 6, 2016
103
61
Anahitajika mtu wa kufanya kazi VODACOM service desk (vodashop ndogo)..mombasa (Dar)

Kazi..

.Awe na uwezo wa kutafuta soko la simu na voucher za kuuza Jumla.
.line swap
.kusajili line na kazi zingine

Sifa..
.Awe msichana , umri 18 -25
.Anayeishi mombasa atapewa kipaumbele
.Ajue kutumia computer vizuri.
.Awe na uwezo wa kujieleza

Mwenye sifa tu, awasiliane na 0715407508
 
Wewe ni tapeli. Kampuni kama Voda haiwezi kutangaza kazi kizembe namna hio. Na kwann utafutwe wewe Kwanza badala ya kutuma maombi kiofisi?
 
Anahitajika mtu wa kufanya kazi VODACOM service desk (vodashop ndogo)..mombasa (Dar)

Kazi..

.Awe na uwezo wa kutafuta soko la simu na voucher za kuuza Jumla.
.line swap
.kusajili line na kazi zingine

Sifa..
.Awe msichana , umri 18 -25
.Anayeishi mombasa atapewa kipaumbele
.Ajue kutumia computer vizuri.
.Awe na uwezo wa kujieleza

Mwenye sifa tu, awasiliane na 0715407508
Acha utapeli wako ww umeona wap kampuni km iyo ikatangaza kaz kw staili iyo..hawa ndio wale wale watawaambia umefuzu ila tuma 20000tsh hapa tumpoze boss ukishatuma tu imekula kwako hamna cha kaz wala nn...nakushauri mkuu katafute kaz ya halali ufanye upate hela ushafel ww..
 
Mwenye kuhitaji na mwenye shida ya Kazi.. ofisi ipo mombasa moshi bar
 
wasio na kazi wamemtafuta... wabishi kama hawa huwa wameshiba, hawana shida!

kama ni tapeli ataripotiwa tu humu muda si mrefu...
Dada zetu wawe makini. Kesi kama hizi zipo nyingi siku hizi.
Acha utapeli wako ww umeona wap kampuni km iyo ikatangaza kaz kw staili iyo..hawa ndio wale wale watawaambia umefuzu ila tuma 20000tsh hapa tumpoze boss ukishatuma tu imekula kwako hamna cha kaz wala nn...nakushauri mkuu katafute kaz ya halali ufanye upate hela ushafel ww..
Bora na wewe useme. Inakera sana kurudishana nyuma.
 
watu kama van mab wapo wengi sana humu, wanatafuta wachumba sometimes kwa kigezo cha kazi
any way, yote maisha, wasipotapeliwa hapa, watapigwa kwingine...
utapeli wakati mwingine hauzuiliki maana upo kwa kila njia...
atakayekusikiliza na comedian zako hana njaa
 
Utata unakuja hapo alipoweka contact no. Hawa ndio matapeli wenyewe, kwenye vodacom portal yao sijaona announcement yoyote ile kuhusiana na inshu ya jamaa
Mpaka na Wewe unatapeliwa unajihesabu una akili sawa sawa?
 
Mmmhhh...inshort voda hawa ajiri hvyo ,lazma uptie recrt agent ndo upate kaz kwny hzo desk zao.
 
atakayekusikiliza na comedian zako hana njaa
km kweli ww unataka kusaidia watu kasaidie kwanza ndg zako huko...huu utaperi sio eti umetoa contact km kwel ww unatoa kaz mbn hujatangaza waje ofisin kwako...!waelekeze hapo ofic yako ipo wapi waje sio unatoa minamba yako ya sim ulioisajil kifake fake..
 
Mmmhhh...inshort voda hawa ajiri hvyo ,lazma uptie recrt agent ndo upate kaz kwny hzo desk zao.
Usichokijua ni vyema ukauliza.. nilitangaza hapa nafasi kama hii December .. Binti alipatikana yuko VODACOM desks ya mbezi kwa msuguri anapiga kazi..
Unaweza fatilia hilo..
 
Back
Top Bottom