Kuna nafasi ya udereva hotel ya Lahe Mwanza, mwombaji awe na sifa zifuatazo
Umri miaka 21-30
Awe na cheti cha Veta cha kuhitimu mafunzo ya udereva
Vyeti vya kundesha gari
Uwezo wa kuendesha gari safari ndefu.
Maombi yapelekwe kwa meneja wa hoteli kabla ya tarehe 10.7.2023 ukiambatanisha nyaraka sahihi SLP 6129 Mwanza.lahehotels@gmail.com.simu 0655290084.