Huyu mtu kweli anakunywa viroba au ana shida nyingine coz mimi nina watu wanafanya hizo bank na mfano Nmb unaanza na 545000/= ambayo imepanda hadi 600k kwa sasa.hata Twiga bank ambao ndio wanjitahidi kulipa vizuri wanalipa sh 1.2m kwa graduate mwenye uzoefu.
Mshahara wa 1.7m ni makampuni machache sana wanaotoa