kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 403
- 520
Anatafutwa kijana mmoja wa mauzo na masoko kwa ajira ya mkataba wa muda mfupi.
Vigezo: Awe na uelewa na maswalawala ya forodha (uagizaji na uondoaji wa mizigo bandarini)
Jinsia ya kike au kiume mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 45 anaeweza kujisimamia mwenyewe
Kama umevutiwa au una sifa za kuomba nafasi hii tuma CV yako kupitia email ifuatayo
joexgroup@yahoo.com
Mwisho wa maombi haya ni 31 May 2025 saa 2359
NB: Inashauriwa awe kijana anaeishi Dar Es Salaam au mkoa jirani na Dar kutokana na kazi kua ya mda mfupi wa kuanzia miezi 3 hadi 6 tu kutokana na uchapakazi wake