Ajira ya muda 2020 (BVR kit Operator)

Ajira ya muda 2020 (BVR kit Operator)

Lumaitha

Member
Joined
Jan 15, 2020
Posts
20
Reaction score
18
A alaykum.

Naombeni mwenye kujua kuhusu hi ajira huwa wanalipaje lipaje na wanaangalia vigezo vp kukupa ajira.

Mbarikiwe
 
3 za wadhamini 2 zako.
Picha 3 zake za hivi karibuni na wadhamini wawili (referees)
Hawahitaji picha za wadhamini
ajiraleotanzania_20200131_12.jpeg
 
Kuanzia semina mpaka mpaka zile siku 7 za kazi unapata 200000 na usheee
Bt ni kazi simple sana bt umakini unahtajika sana wakati wa kuingiza taarifa
So jipendekeze kwa maARO kata upate huo mchongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A alaykum.

Naombeni mwenye kujua kuhusu hi ajira huwa wanalipaje lipaje na wanaangalia vigezo vp kukupa ajira.

Mbarikiwe
Kwa siku 20000 au 25000 kulingana na halmashauri lakn passprt mbili za wadhamini na yako moja kikubwa uwe unajua kompyuta ndowanachozingatia hasa
 
Kumbuka hiyo kazi huwezi pata kama hauna connection
 
Mtoa mada kama hautojali tupe taarifa zaidi kuhusu iyo kazi nasie tuweze kutuma maombi tujaribu bahati zetu.
 
Back
Top Bottom