Ajira wizara ya afya

MITOCHONDRIA

Senior Member
Feb 21, 2013
147
34
Hivi hapo wizara ya afya kuna nini, mbona wao ndio peke yao hawajapewa kibali cha kuajiri, na hicho kibali wanapewa lini, mana tumeona utumishi wametoa ajira, wizara ya elimu pia. Vp hawa wenzetu au wanajiajili kwanza zitakazobaki ndio watuletee akin yahe tugombanie. Naomba kuwasilisha
 
Hii wizara madudu mengi!hata post za masomo walizingua hivi hivi hawa jamaa
 
hii wizara madudu mengi!hata post za masomo walizingua hivi hivi hawa jamaa

hii wizara wampe mwakyembe, kila siku kwenye makonghamano wanasem kuna upungufu wa watumishi, wakati watumishi wapo kibao mtaani, wamemaliza intern, wamemaliza vyuo. Sasa kuna upungufu au hawana pesa za kuwapa. Kwa hiyo kuna upungufu wa peas za kuajiri sio wataalam.
 
Mkuu mitochondria tupo pamoja kwenye hilo janga la kisubiri kibali cha ajira moh....manake kuna watu tumemaliza intern tangu october mwaka jana mpaka leo tupo mtaani wakati wao wanalalamika uhaba wa wafanyakazi...this can only happen in Tanzania...ukienda kuwauliza hapo wizarani wanasema wamepeleka maombi ya kuajiri utumishi wanasubiria majibu....mbaya zaidi hints za bajeti ya mwaka huu 2013/2014 haionyeshi kama afya ipo kwenye vipaumbele vya hiyo bajeti.....sijui kama tuyafika kwa mwendo huu.
 
  • Thanks
Reactions: Ctr

Pole sana mzazi, ule mwendo wa kabajeti kenyewe kama kasungura ndio unaoleta headache kwetu. Ila wao ni kuangalia vitengo vyao vimetengewa shilingi ngapi kwenye bajeti. Uhakika wa msosi si wanao?
 
mkuu mitochondria tupo pamoja kwenye hilo janga la kisubiri kibali cha ajira moh....manake kuna watu tumemaliza intern tangu october mwaka jana mpaka leo tupo mtaani wakati wao wanalalamika uhaba wa wafanyakazi...this can only happen in tanzania...ukienda kuwauliza hapo wizarani wanasema wamepeleka maombi ya kuajiri utumishi wanasubiria majibu....mbaya zaidi hints za bajeti ya mwaka huu 2013/2014 haionyeshi kama afya ipo kwenye vipaumbele vya hiyo bajeti.....sijui kama tuyafika kwa mwendo huu.

nashukuru sana mkuu dan geoff pkwa kuniliwaza, kwamba siko peke yangu. Hata mm tangu november mwaka jana nimemaliza intern, nishakwenda mara kibao wizarani wimbo ule ule wa kibali. Hicho kibali moh kinatofauti sana hivi vingine. Mbon, vingine vinatoka. Kama afya sio kipaumbele hakuna noma watambana sana hizo millenium development goal " reduction of maternal mortality rate"
 
Poleni sana wadogo zetu kwa kusubiri ajira kwa muda mrefu sasa. Kwanza ikumbukwe kuwa serikali (MoHSW) bado kunakale ka element ka yale matatizo ya mgomo wa mwaka jana wa madaktari (si mnajua nchi hii ni ya visasi?) kwa hiyo mnatakiwa kutumia busara sana kutafakari ucheleweshaji wa ajira. KIUKWELI SI KAWAIDA AJIRA MoHSW kuchelewa kama ilivyo tokea kwa sasa. Jamabo lingine ambalo naweza kuwashauri ni kujaribu kuingia mikataba na mashirika mbalimbali yanayotoa huduma za Afya, ajira huko zipo nyingi sana. Sema Vijana walio wengi hawataki kwenda vijijini au Wilayani wanataka kukaa DSM tu. Nasema hivi nikiwa na ushahidi wa mtu aliye maliza Intern Mwaka jana pale MNH, nilimuunganishia kazi Hospitali ya Peramiho toka mwezi wa 9/2012, dogo alijivutavuta mpaka mwezi wa 12/2012 akaniambia oooh huko mbali sana nimepata kijiwe DSM napiga kazi. Sasa hapo mtu utakuwa na hamu ya kumsaidia tena.?
 
kila wilaya/taasisi imeshapewa idadi ya ajira katika sekta ya afya watakazo ajiri 2013/2014,nafasi za kuajili zilizotolewa ni chache sana kulinganisha na mwaka jana.
Kinashosubilwa ni fungu/fedha kutoka hazina kuu,imesemekana serikali ina ukata mkubwa wa fedha.
kama wewe ni daktari umemeliza intern yako,mbona una uwanja mpana wa ajira,kwa sasa usibague ajira,fanya ata tutorial assistant kuna medical school nyingi na zinatafuta watu(Udom,Muhas,Bugandouniversity,Kcmc) salary zao sio mbaya.
Then ukishapata subiri ajira za serikali kama ni choice yako ukiwaumerelax.
 
kila wilaya/taasisi imeshapewa idadi ya ajira katika sekta ya afya watakazo ajiri 2013/2014,nafasi za kuajili zilizotolewa ni chache sana kulinganisha na mwaka jana.
Kinashosubilwa ni fungu/fedha kutoka hazina kuu,imesemekana serikali ina ukata mkubwa wa fedha.
Kama wewe ni daktari umemeliza intern yako,mbona una uwanja mpana wa ajira,kwa sasa usibague ajira,fanya ata tutorial assistant kuna medical school nyingi na zinatafuta watu(udom,muhas,bugandouniversity,kcmc) salary zao sio mbaya.
Then ukishapata subiri ajira za serikali kama ni choice yako ukiwaumerelax.

hakuna noma mkuu moes, ila hata huko tunataka kaka, huko udom watu wamefanya interview huu mwezi wa tano sasa hawjui kinachoendelea, mkuu hali ni mbaya ila hakuna ubaya
 
ha ha vijana tulishindwa kuungana kwa pamoja kipidni cha mgomo kupiganian maslahi ikiwemo kubadili hzi system mbovu za kukalisha intern mtaani baada ya internship wengine mkakimbili kurudi kazini na wengine tukaambulia kifungi cha kiezi nane ..sasa hvi mnakuja hapa kulalamika ...na mimi hapo naona bado sana k na wataendelea kuwaoneeni hadi muone nchi hii chungu...
 
Huu sio wakati wa kulaumiana mkuu, kama wewe umepata ajira mshukuru Mungu utabarikiwa kwa hilo sio kutoa maneno ya kebehi!
 
Hivi hapo wizara ya afya kuna nini, mbona wao ndio peke yao hawajapewa kibali cha kuajiri, na hicho kibali wanapewa lini, mana tumeona utumishi wametoa ajira, wizara ya elimu pia. Vp hawa wenzetu au wanajiajili kwanza zitakazobaki ndio watuletee akin yahe tugombanie. Naomba kuwasilisha

Mkuu, ID yako inanikumbusha mambo ya loong time. Ndugu zako Cytoplasm, Golgi na wenzao hawajambo?
 
sija kebeh mkubwa ila ukweli ndo huo ingawaje inauma sana hamna watu wanafiki na wasiopendana kama field yetu hii na wataendelea kutunyanyasa tena kwa sana tu..
nipate kazi wapi wakati intern yenyewe ishaingia majungu na sijui ntamaliza lini ..nasubiri kuhojiwa kaka.....life not easy at all
 
nashukuru sana mkuu dan geoff pkwa kuniliwaza, kwamba siko peke yangu. Hata mm tangu november mwaka jana nimemaliza intern, nishakwenda mara kibao wizarani wimbo ule ule wa kibali. Hicho kibali moh kinatofauti sana hivi vingine. Mbon, vingine vinatoka. Kama afya sio kipaumbele hakuna noma watambana sana hizo millenium development goal " reduction of maternal mortality rate"
Poleni sana, njoo bugando wanaajiri.hawatoagi tangazo.unajileta mwenyewe kwa mkurugenzi wa hospitali
 
Back
Top Bottom