AJira wizara ya Afya

AJira wizara ya Afya

Joined
Jul 29, 2015
Posts
70
Reaction score
10
Jamani nachukua fursa hii kuuliza swala la ajira hasa wizara ya afya..ni lini..maana vijana wamejaa mtaani hwana kazi wakati upungufu wa watumishi wa afya ni mkubwa sana...kwa mwenye dondoo msaada please
 
Back
Top Bottom