Ajira vipi kwenye taasisi za serikali?

jui

Senior Member
Sep 1, 2016
103
100
Wadau mwe taarifa kuhusu lini kibali cha ajira kinatoka rasmi atujuze juzi kati nilimsikia waziri akisema waliositishiwa ajira kimakosa waende tamisemi sijaelewa ndio wale waliofanya kazi mwezi mmoja au wapi hao?? Mwenye nyape nyape atujuze
 
Serikali ipi mbona wenzio wameomba kazi

WCF wameitwa
TPA wametoa kazi
MSd wametoa kazi kibao
NMB walitoa kazi watu wako training
TRA walitoa kazi watu wanamaliza mwezi wa tano training

Mamlaka za Maji kama SUWASA,DOWASA wametoa kazi Mara nyingi Sana wewe huombi

Kama mwalimu subiri tumewaambia mtume taarifa zenu kwenye Tovuti ya Tamisemi
 
Sio kuomba kuitwa kuanza kazi, km kuomba niliomba kwenye taasisi moja serikalini mpaka leo sijaitwa tangu mh raisi asitishe miezi miwili mpaka leo imekuwa dulii
 
Serikali ipi mbona wenzio wameomba kazi

WCF wameitwa
TPA wametoa kazi
MSd wametoa kazi kibao
NMB walitoa kazi watu wako training
TRA walitoa kazi watu wanamaliza mwezi wa tano training

Mamlaka za Maji kama SUWASA,DOWASA wametoa kazi Mara nyingi Sana wewe huombi

Kama mwalimu subiri tumewaambia mtume taarifa zenu kwenye Tovuti ya Tamisemi
Mkuu nisaidie hiyo ya nmb ni kazi ipi kuna ile ya northern zone na southern zone au ndo zote wako training? Nisaidie kujua
 
Serikali ipi mbona wenzio wameomba kazi

WCF wameitwa
TPA wametoa kazi
MSd wametoa kazi kibao
NMB walitoa kazi watu wako training
TRA walitoa kazi watu wanamaliza mwezi wa tano training

Mamlaka za Maji kama SUWASA,DOWASA wametoa kazi Mara nyingi Sana wewe huombi

Kama mwalimu subiri tumewaambia mtume taarifa zenu kwenye Tovuti ya Tamisemi
Nyongeza:

Wizara ya afya pia tiyari watu wanasubiri kupangiwa vituo tu.
 
Back
Top Bottom