Ajira: Tunatafuta mfanyakazi

Ajira: Tunatafuta mfanyakazi

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Kazi; kutafuta wateja na kutangaza tiba ya meno , haswa mtandaoni.

Sehemu ya kazi: Korogwe Tanga

Mshahara: 200000/= , na commission za mauzo ya kila siku

Elimu: awe na elimu ya chuo kikuu , haswa
Usimamizi wa biashara , na network marketing au zaidi.

Jinsia: msichana

Dini;: yeyote

Uwezo wa ziada
1. Aweze kutafuta wateja mtandaoni na kwingine
2. Kufanya kazi kwa muda mrefu
3. Mbunifu
4. Mvumilivu

Namna ya kutuma maombi,;
maombi yenye maelezo mafupi na ya ziada yatumwe kwa whtsup number +255679954080

Mwisho wa maombi ni tarehe 13/04/2021
 
Acha wizi,Ili tangazo,husemi ni kampuni gani?duka gani?,linaitwaje?Ili tangazo pereka kwenye familia yenu,bibi yako,mama yako,dada zako waombe ajira
Kuna ulazima gani wa kupambana na kitu usicho na kazi nacho?
 
Acha wizi,Ili tangazo,husemi ni kampuni gani?duka gani?,linaitwaje?Ili tangazo pereka kwenye familia yenu,bibi yako,mama yako,dada zako waombe ajira
Awe na elimu ya chuo kikuu (tafsiri ya haraka ni Bachelor) , haswaa upande wa usimamizi wa biashara , malipo 200k[emoji2960][emoji2960][emoji2960]

Haya ngoja nipite
 
Elimu ya chuo kikuu kutembeza Colgate,,!!

CAG hajapita huko
 
Kazi; kutafuta wateja na kutangaza tiba ya meno , haswa mtandaoni.

Sehemu ya kazi: Korogwe Tanga

Mshahara: 200000/= , na commission za mauzo ya kila siku

Elimu: awe na elimu ya chuo kikuu , haswa
Usimamizi wa biashara , na network marketing au zaidi.

Jinsia: msichana

Dini;: yeyote

Uwezo wa ziada
1. Aweze kutafuta wateja mtandaoni na kwingine
2. Kufanya kazi kwa muda mrefu
3. Mbunifu
4. Mvumilivu

Namna ya kutuma maombi,;
maombi yenye maelezo mafupi na ya ziada yatumwe kwa whtsup number +255679954080

Mwisho wa maombi ni tarehe 13/04/2021
Kwa biashara yako hauhitaji mtu wa Chuo kikuu, we tafuta kijana mchangamfu na mshap atafanya hiyo kazi vizuri tu.
Mshahara wa laki 2 unatosha kwa kijana wa kawaida, ukichukuwa wa Chuo Kikuu hautadumu nae hyo ela ni ndogo sana kwa mtu mwenye elimu hiyo unayotaka.
 
Hizi sasa ni dharau! Yaani mtu mwenye elimu ya chuo kikuu na aliyesomea fani ambayo hata yeye mwenyewe anaweza kupambana mtaani ndiyo umuajiri kufanya kazi ya promosheni kwa mshahara wa laki 2 tu kwa mwezi!!
 
Back
Top Bottom