Ajira tanzania police force, diploma na digrii

Bandwidth Limit Exceeded

The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
Apache/2.2.24 (Unix) mod_ssl/2.2.24 OpenSSL/1.0.0-fips DAV/2 mod_auth_passthrough/2.1 mod_bwlimited/1.4 FrontPage/5.0.2.2635 Server at www.policeforce.go.tz Port 80
 
...asante mkuu ila wala siaply,mambo ya kumwa..ngosi watu sitaki..
 
kama unayo c uiweke wananzengo waione mwana............................ mambo ya email email email email ndo nn ss.:peep:
 
Sasa hivi site inafunguka. Tangazo linahusu vijana wanaotarajiwa kumaliza masomo yao mwaka huu 2013. Kama ni fomu hiyo nakumbuka ilishawekwa hapa. Pia hilo tangazo lin aeleza matarajio ya polisi kuajiri wahitimu wa kidato cha nne 2012 na kidato cha sita 2013 ambao walijaza fomu kabla ya mitihani yao. Pia linaeleza kuwa usaili kwa vijana waliokuwa JKT NA JKU kwa ajili ya kujiunga na upolisi umekamilika toka mwezi wa nne mawaka huu. Vijana mliopo chuoni wenye shahada zenu na mnaopenda kuwa polisi changamkieni kwani mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30.6.2013. Maombi hayo yanapaswa kutumwa na mkuu wa chuo husika kwa IGP. Fomu hiyo iliwekwa hapa jamvini.
 
TANZANIA POLICE FORCE
APPLICATION FORM FOR JOINING THE TANZANIA POLICE FORCE
YEAR 2013
PART (A): APPLICANT’S PERSONAL PARTICULARS:
Applicant’s Full Name: Sex:
Male Female
(Date of birth):
University/College Name: Field of Speciality:
Registration number:
Home District and Region: Description of health problem or any physical disability:
Permanent Address:
Phone/Mobile No:
E-mail:
Date of Acquiring CSEE (Form Four) Date of Acquiring ACSEE (Form Six)
PART (B): DECLARATION BY THE APPLICANT:
I declare that the information given above is true and the choice made is of my own decision.
Signature……………………………………………Date…………………………………….............
PART (C): CERTIFICATION BY THE UNIVERSITY CHIEF ACADEMIC
OFFICER/DEAN:
I certify that the information given by the applicant is correct.
Name of the Chief Academic Officer/Dean: …………………………………………………………
Signature: ……………………………………Date…………………………………………………...
PART (D): FOR OFFICIAL USE ONLY:
1.Applicant’s Examination Results; 1st Class 2nd Class
upper
2nd Class
Lower
Pass Failed
Caution: (i) Please do not fill this form if you have any health or physical disability that may
prevent you from undertaking Police Course(s)/Work(s).
(ii) This form should be filled by only finalist candidates under the Academic year
2012/2013, not otherwise.
PASS PORT
SIZE




kaaaaaz kwel kwel ......... :A S 576::):nod:
 
Back
Top Bottom