doomedcity
Member
- Apr 8, 2023
- 66
- 144
Habari wakuu , naomba msaada hapo wakat naingiza taatifa za chuo inaniambia hivyo
Vp na kwa upande wa watu wenye leseni za zanzibar wa afya mbona mfumo unawatema?Angalia vizuri kwenye hzo level ulizoselect sema umeficha sana ndo mana unakosa jibu sahii zaidi Screenshot ikiwa aina hiko ki x tuone hapo
Mean sass ndugu suluhu unapatajeVp na kwa upande wa watu wenye leseni za zanzibar wa afya mbona mfumo unawatema?