Ajira portal

Ajira portal

MPSZX PAULO

Member
Joined
Mar 12, 2020
Posts
40
Reaction score
36
Hbr za asubuhi Wana jamvi ni nini kimetokea kwenye page ya ajira portal maana naona haifunguki na na inaandika hakuna taarifa zozote au wamefuta page ya ajira portal?
Screenshot_20240224-073131.jpg
 
Eeh inatokeaga sana..basi na wngine ndo tunasubir mkeka basi roho juu juu
 
Wabongo sijui tuna matatizo ya akili au vp, kitu kidogo tuu tayari malalamiko
 
Ingetolewa taarifa na wahusika kwamba kutakuwa na changamoto hii na hii basi kusingekuwa na malalamiko kwahiyo wanaolalamika ni haki yao
Unadhani Ajiraportal imeanza kusumbua Leo mpaka watoe taarifa Kwa Leo na sio Jana na juzi?
 
Ingetolewa taarifa na wahusika kwamba kutakuwa na changamoto hii na hii basi kusingekuwa na malalamiko kwahiyo wanaolalamika ni haki yao
Kwan hy changamoto n temporary au permanent.? Tatizo lenu ikifika deadline ndo mnajifanya mna haraka
 
Ninasikitika kusikia kwamba huenda ikafuta taarifa zako zote ikiwemo kuondoa maombi uliyotuma
 
Pole usilie mkeka haujachanika
Amiiiiiiiiin...wasinichanie mkeka wangu sna other option,yan akili yangu imefika mwsho kias kwamb sitak ata kuapply kazi nyingine...ubaya wake awa Psrs Co wa kuwawekea tumaniii kbsa
 
Amiiiiiiiiin...wasinichanie mkeka wangu sna other option,yan akili yangu imefika mwsho kias kwamb sitak ata kuapply kazi nyingine...ubaya wake awa Psrs Co wa kuwawekea tumaniii kbsa
Basi utulivu uwe muhimu
 
Back
Top Bottom