Ajira Portal

S
Sijapanick brother, nataka nijuwe tu Ili nijiandae, and off course sijawa shortlisted bado.
 
Jamani swala la vyeti kuhakikiwa mahakamani ni muhimu au lazima..!?
Ednapo kwenye tangazo wamesema hivyo ni lazima....ila kama kwenye Tangazo haikusemwa hivyo sio lazima so depend na mwajiri anataka nini.....but ni salama zaidi kuweka certified.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…