Yes... pale kwenye attachment... weka birth certificate na C.V yako. Sijui kama ina umuhimu sana ila kipengele kipo, kitumie tuTunaomba ufafanuzi hapo namba 4. Kuna C.V ya nje inahitajika ukiacha ile general iliyo kwenye profile!?.
Fanya uhakiki uattach...si umeona last time TRA Ilikua mojawapo ya kigezo watu kutemwa so Sasa Hivi n muhimu sanaJamani swala la vyeti kuhakikiwa mahakamani ni muhimu au lazima..!?
Tatizo hili yani unauliza Mahakama ipi?Mahakama ipi mkuu
N muhimu na lazimaJamani swala la vyeti kuhakikiwa mahakamani ni muhimu au lazima..!?
Tena msisitize kabisa maana mm mwenyewe ni Muhang wa Hilo.. niliomba kazi mwez wa 1 mwanzoni but nilipuuzia kuthibitisha vyeti kwa advocate/court kilichojiri ni kunila kichwa tu.. hapa navizia zikitoka Ajira hizi wanazosemea kuwa sijui wiki ijayo, ntaenda chap kwa advocate kufanya mamboN muhimu na lazima
Yn n kufata wanachotaka ajira portal na sio vinginevyo, kuna wengine wanasema tuweke vyeti original bila kuithibitisha kwa wanasheria wakati ajira portal inataka utoe copy ndipo uthibitisheTena msisitize kabisa maana mm mwenyewe ni Muhang wa Hilo.. niliomba kazi mwez wa 1 mwanzoni but nilipuuzia kuthibitisha vyeti kwa advocate/court kilichojiri ni kunila kichwa tu.. hapa navizia zikitoka Ajira hizi wanazosemea kuwa sijui wiki ijayo, ntaenda chap kwa advocate kufanya mambo
Skia mkuu, me japo nilisikia kabla Ila kilichokanitia kiburi ni kuwa nilishawahi kuomba kazi utumishi mwaka Jana tena zaidi ya mara moja na nikawa shortlisted Hali ya kuwa niliweka vyeti vyangu OG hvyohvyo vikiwa colored japo zote sikuwahi hudhuria Usaili..Yn n kufata wanachotaka ajira portal na sio vinginevyo, kuna wengine wanasema tuweke vyeti original bila kuithibitisha kwa wanasheria wakati ajira portal inataka utoe copy ndipo uthibitishe
Sasa hivi wanakazaSo unaweza kuona namna gani current wamekuwa very strict na Hii issue.
Ni muhimu sana mkuuJamani swala la vyeti kuhakikiwa mahakamani ni muhimu au lazima..!?
LAZIMAAAAAJamani swala la vyeti kuhakikiwa mahakamani ni muhimu au lazima..!?
Ukipandisha cheti original kuna ugumu gani utakuepo?
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Nakwambia ni vituko nchi hiiBongo ndo nchi pekee ambayo mtu unasoma mpaka degree, unapewa na cheti lakn huitwi kwenye intavyuu kisa huna kitambulisho cha NIDA
Sent from my Vx V8
Ina maana wewe hata option ya kusend barua huipati wanakwambia hujakidhi vigezo na Sio kwamba unaomba hautwi.. me nimeielewa vibaya jamani..!!!Mara nyingi naambiwa sijaqualify mpaka nimekata tamaaa jamani
Utumishi hawana jambo dogo
Nimeshuhudia watu wakikataliwa kuingia kwenye interview kisa vitu vidogo mfano mtu alikua hana kitambulisho tu...Hapo alikua na vyeti vyote pamoja na affidavit ya kupoteza kitambulisho ila waligoma
Certify vyeti, saini barua kwenye interview nenda na original zote
Kitambulisho Cha nini unazungumzia ? Maana wengine hatuna kitambulisho Cha NIDA but tuna namba ya NIDA tu na Wala hatuna hata kitambulisho Cha kupigia kura ? Halafu kwani kwenye written interview MTu anapaswa kwenda na nini na nini ?Utumishi hawana jambo dogo
Nimeshuhudia watu wakikataliwa kuingia kwenye interview kisa vitu vidogo mfano mtu alikua hana kitambulisho tu...Hapo alikua na vyeti vyote pamoja na affidavit ya kupoteza kitambulisho ila waligoma
Certify vyeti, saini barua kwenye interview nenda na original zote
="gorilla 1, post: 43397188, member: 632076"]Mbona umepaniki mkuu,,, kwanza ushakuwa shortlisted..? Kama bado relax mambo yatakuwa poa
K
Kitambulisho Cha nini unazungumzia ? Maana wengine hatuna kitambulisho Cha NIDA but tuna namba ya NIDA tu na Wala hatuna hata kitambulisho Cha kupigia kura ? Halafu kwani kwenye written interview MTu anapaswa kwenda na nini na nini ?