Bongo ndo nchi pekee ambayo mtu unasoma mpaka degree, unapewa na cheti lakn huitwi kwenye intavyuu kisa huna kitambulisho cha NIDA[emoji23][emoji23]Ajira portal saivi wapo serious...
1. Hakikisha profile yako umejaza vizuri. Kila kipengele ukijaze yaani profile ifike angalau asilimia 80.
2. Hakikisha vyeti vyako vipo verified na mwanasheria.
3. Pitia page kila siku... mara nyingi wanaowahi kuapply ndo chance kubwa ya kuitwa.
4. Weka CV current
5. Sehemu ya picha hakikisha ina picha yako official... yaani presentable.
6. Barua ya kuombea kazi lazima iwe official. Iwe na anuani yako na ya utumishi bila kisahau kutia sahihi... yaani kama huwezi mambo ya kuprint na kuscan tengeneza e-signature.
Barua zisizo na signature hazipewi kipaumbele.
7. Hakikisha kazi unayoomba unakidhi vigezo
8. Sasahivi wanataka uweke na namba ya NIDA
9. Maombi kwa Mungu wako ni muhimu zaidi.
Nimeishaanza hata kusahau kwamba na mimi nilisoma na nina elimu ya chuo....umefikisha miaka 35 bado unahangaika na ajira ya serikali?... fanya mambo mengine huenda mungu hakukupangia upande huo.......
Hlo tatzo linarekebishika mzee nenda ulikochukulia hcho kitambulisho chako kawaeleze,,, weka uso mbuz usiende na mwonekano wa kiunyonge nyongeMi nlishagive up na AJIRA PORTAL. Ishu iko hivi. Unajuwa namba nne za mwanzo za NIDA kwa kawaida huwa zinawakilisha mwaka wa kuzaliwa ila mimi kwangu kwenye ile namba mwaka wa kuzaliwa unaonekana ni mkubwa ( NIDA WALIKOSEA) sasa nikawafuata NIDA wakaniambia kuwa haiwezi kuleta shida kwenye kitambulisho cha taifa maana namba itabaki kuwa namba tu na kwenye miaka kutakuwa na miaka yangu halisi na hakutakuwa na tatizo lolote lile so hawakubadilisha. so nime give up na kuomba kazi ajira portal maana wao wameamua kuzitreat zile namba nne za mwanzo kama mwaka wangu wa kuzaliwa kwa hiyo kila kazi ninayoomba naambiwa kuwa umri umezidi sana (yaani mkubwa sana) so sijaqualify kwa hiyo kazi.
Hlo tatzo linarekebishika mzee nenda ulikochukulia hcho kitambulisho chako kawaeleze,,, weka uso mbuz usiende na mwonekano wa kiunyonge nyonge
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Hapo nenda tena nida tena waambie me Sina namba ya nida uanze kujisajiri upya maana haiwezekani wakukoseshe kazi 7bu ya mistakes zao alah..Mi nlishagive up na AJIRA PORTAL. Ishu iko hivi. Unajuwa namba nne za mwanzo za NIDA kwa kawaida huwa zinawakilisha mwaka wa kuzaliwa ila mimi kwangu kwenye ile namba mwaka wa kuzaliwa unaonekana ni mkubwa ( NIDA WALIKOSEA) sasa nikawafuata NIDA wakaniambia kuwa haiwezi kuleta shida kwenye kitambulisho cha taifa maana namba itabaki kuwa namba tu na kwenye miaka kutakuwa na miaka yangu halisi na hakutakuwa na tatizo lolote lile so hawakubadilisha. so nime give up na kuomba kazi ajira portal maana wao wameamua kuzitreat zile namba nne za mwanzo kama mwaka wangu wa kuzaliwa kwa hiyo kila kazi ninayoomba naambiwa kuwa umri umezidi sana (yaani mkubwa sana) so sijaqualify kwa hiyo kazi.
[emoji17][emoji17] pole mkuu... ungewapigia secretariat wenyewe kufafanua. Usi give upMi nlishagive up na AJIRA PORTAL. Ishu iko hivi. Unajuwa namba nne za mwanzo za NIDA kwa kawaida huwa zinawakilisha mwaka wa kuzaliwa ila mimi kwangu kwenye ile namba mwaka wa kuzaliwa unaonekana ni mkubwa ( NIDA WALIKOSEA) sasa nikawafuata NIDA wakaniambia kuwa haiwezi kuleta shida kwenye kitambulisho cha taifa maana namba itabaki kuwa namba tu na kwenye miaka kutakuwa na miaka yangu halisi na hakutakuwa na tatizo lolote lile so hawakubadilisha. so nime give up na kuomba kazi ajira portal maana wao wameamua kuzitreat zile namba nne za mwanzo kama mwaka wangu wa kuzaliwa kwa hiyo kila kazi ninayoomba naambiwa kuwa umri umezidi sana (yaani mkubwa sana) so sijaqualify kwa hiyo kazi.
Sasa si ndio unawaambia tatizo lipo ndio hilosijachukua kitambulisho bado maana hakijatoka bado na nilishaenda wakaniambia hakuna tatizo lolote asee, maana hata katika infor zangu sikukosea kitu asee.
@Labani ogAjira portal saivi wapo serious...
1. Hakikisha profile yako umejaza vizuri. Kila kipengele ukijaze yaani profile ifike angalau asilimia 80.
2. Hakikisha vyeti vyako vipo verified na mwanasheria.
3. Pitia page kila siku... mara nyingi wanaowahi kuapply ndo chance kubwa ya kuitwa.
4. Weka CV current
5. Sehemu ya picha hakikisha ina picha yako official... yaani presentable.
6. Barua ya kuombea kazi lazima iwe official. Iwe na anuani yako na ya utumishi bila kisahau kutia sahihi... yaani kama huwezi mambo ya kuprint na kuscan tengeneza e-signature.
Barua zisizo na signature hazipewi kipaumbele.
7. Hakikisha kazi unayoomba unakidhi vigezo
8. Sasahivi wanataka uweke na namba ya NIDA
9. Maombi kwa Mungu wako ni muhimu zaidi.
Pale kuna walimu kibao wa sheria wenye mihuri tena watakufanyia bei ya kiuanafunzi
Ukipandisha cheti original kuna ugumu gani utakuepo?Ww itakuwa unaikumbuka portal kipindi nafasi zimetangazwa unakuwa na wenge hyo inatakiwa ijazwe taratibu tena sasa hv ndio ngumu kuliko zamani maana ukikosea option ya kufuta ngumu unatakiwa umakini na usisahu Ku verify vyeti vyako toa copy peleka mahakamani pamoja na original zako zile copy zitakazo kuwa verified ndio unazi upload,
Sasa wanakwambiaje hakuna tatzo wakat kuna tatzo?? Yaan wao ndo wanakuamulia wakat kitambulisho n chako?sijachukua kitambulisho bado maana hakijatoka bado na nilishaenda wakaniambia hakuna tatizo lolote asee, maana hata katika infor zangu sikukosea kitu asee.
Hii nayo idea nzuri afu ukizingatia hii mifumo ya NIDA haiko centralized.Hapo nenda tena nida tena waambie me Sina namba ya nida uanze kujisajiri upya maana haiwezekani wakukoseshe kazi 7bu ya mistakes zao alah..
Ni mawazo yangu lkn
Uliomba nafasi gani?
Vp wana app yao@Labani og
Uliomba nafasi gani?
WebsiteVp wana app yao