Tuma picha tuone muonekano wa profile yako tuanzie hapoHabar wanajukwaa samahani kwa wenye uzoefu wa ajira portal wanisaidie maana kila nikiomba kazi siitwi hata kwenye interview na kila mara najaribu kuapply.
Mnaoitwa kwenye interview mnatumia mbinu gani mnisaidie maana umri unaenda na mimi nataka niajiriwe serikalini
Ww itakuwa unaikumbuka portal kipindi nafasi zimetangazwa unakuwa na wenge hyo inatakiwa ijazwe taratibu tena sasa hv ndio ngumu kuliko zamani maana ukikosea option ya kufuta ngumu unatakiwa umakini na usisahu Ku verify vyeti vyako toa copy peleka mahakamani pamoja na original zako zile copy zitakazo kuwa verified ndio unazi upload,Habar wanajukwaa samahani kwa wenye uzoefu wa ajira portal wanisaidie maana kila nikiomba kazi siitwi hata kwenye interview na kila mara najaribu kuapply.
Mnaoitwa kwenye interview mnatumia mbinu gani mnisaidie maana umri unaenda na mimi nataka niajiriwe serikalini
Ww itakuwa unaikumbuka portal kipindi nafasi zimetangazwa unakuwa na wenge hyo inatakiwa ijazwe taratibu tena sasa hv ndio ngumu kuliko zamani maana ukikosea option ya kufuta ngumu unatakiwa umakini na usisahu Ku verify vyeti vyako toa copy peleka mahakamani pamoja na original zako zile copy zitakazo kuwa verified ndio unazi upload,
Wanakupa sababu gani yakutokukuita ?
Kikawaida kama umefanikiwa kutuma maombi wanatakiw kukujibu ni kwann hawaja ku shortlist kwenye interview na mara nyingi wamekuwa wakifanya ivyo! na kama awajakujibu niwajibu wako kupiga helpdesk kuuliza kwanni ujaitw!
Wanakupa sababu gani yakutokukuita ?
Kikawaida kama umefanikiwa kutuma maombi wanatakiw kukujibu ni kwann hawaja ku shortlist kwenye interview na mara nyingi wamekuwa wakifanya ivyo! na kama awajakujibu niwajibu wako kupiga helpdesk kuuliza kwanni ujaitw!
Kwanza umesoma nn tuanzie hapo
Sio lazima mahakamani... kuna wanasheria kibao mtaani wenye mihuri. Kuna wenye njaa watakuchaji buku 5 na wengine buku kumi kwa cheti. Ukihitaji namba nicheki.Mahakama ipi mkuu
Umemalizia chuo kipi?Bachelor of Science with Social Protection
Haya yote 9 mkuu 10 ni kuomba Mungu tu maana wale Sasa hivi hawatabiriki😁😁Ajira portal saivi wapo serious...
1. Hakikisha profile yako umejaza vizuri. Kila kipengele ukijaze yaani profile ifike angalau asilimia 80.
2. Hakikisha vyeti vyako vipo verified na mwanasheria.
3. Pitia page kila siku... mara nyingi wanaowahi kuapply ndo chance kubwa ya kuitwa.
4. Weka CV current
5. Sehemu ya picha hakikisha ina picha yako official... yaani presentable.
6. Barua ya kuombea kazi lazima iwe official. Iwe na anuani yako na ya utumishi bila kisahau kutia sahihi... yaani kama huwezi mambo ya kuprint na kuscan tengeneza e-signature.
Barua zisizo na signature hazipewi kipaumbele.
7. Hakikisha kazi unayoomba unakidhi vigezo
8. Sasahivi wanataka uweke na namba ya NIDA
9. Maombi kwa Mungu wako ni muhimu zaidi.
Hiyo kuomba Mungu nimeiweka namba 9 mkuuHaya yote 9 mkuu 10 ni kuomba Mungu tu maana wale Sasa hivi hawatabiriki
Hiyo kuomba Mungu nimeiweka namba 9 mkuumaana unaweza fanya yote na bado hola...
Kuna mmoja za TRA aliambiwa eti amezidi miaka 30Yaani Sasa hv watu wamekuwa na wasiwasi wa kutokuitwa Interview reasonz zimekuwa nyingi sana..
Mara hujatimiza miaka 18, mara huna namba ya kadi ya CCM, mara unaambiwa hujakidhi vingine kwa kuwa hujaolewa au hujaoa yaan ni visanga tu
🤣🤣 Kwani c wanasemaga miaka isizidi 45Kuna mmoja za TRA aliambiwa eti amezidi miaka 30
Na mkaka wa watu ana 32Kwani c wanasemaga miaka isizidi 45
Duuh wamemuonea kabisa,, Leo nimeona kwenye page yako Facebook wamepost zile sheria zao.. kiukweli watu wamewashambulia sana, tena zaidi wamelalamika kuhusu kukatwa majina yao hzi Ajira za TRA..Na mkaka wa watu ana 32
Umemalizia chuo kipi?