Wamewapa watt wa wakubwa. Hakuna kazi za ubalozi zilizo nchi za nje zimeshawahi tangazwa , yaani zinapewaga kwa watt ambao baba zao wameshawahi shika MADARAKA makubwa nchi hiiHabari wakuu...jana usiku ajira portal walipost kazi za foreign service officer lakini leo asubuhi wakazitoa ghafla kulikoni?
Tunahitaji watu wengi wenye akili nyingi sababu tuna uhaba wa watu wenye akili nyingi ndio maana tunadukuliwaLabda Wakenya wamefanya yao....
Note: Hizo kazi mtoto wa mkulima kuzipata sahau...
View attachment 3340758
Wakaziondoa ghaflaNmeziona kama 12 hivi
Mimi pia niliona zipo 12 ila kwa sasa zimekua 8.Nmeziona kama 12 hivi