Mfichua siri
Senior Member
- Jun 19, 2012
- 135
- 62
Jeshi la Polisi Tanzania katika mwaka wa fedha 2013/2014 litaajiri vijana kutoka katika makundi yafuatayo: waliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, kidato cha sita mwaka 2013, JKT/JKU mwaka 2013 na vyuo vya elimu ya juu mwaka 2013.Taratibu zinakamilishwa ili waliomaliza kidato cha nne na sita na waliojaza fomu za maombi kabla ya kumaliza mitihani yao ya mwisho waitwe kwenye usaili. Usaili wa vijana wa JKT umekamilika mapema mwezi Aprili, 2013.
Hasa trafic kuna nini hapo?
Hasa trafic kuna nini hapo?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Panahitaji kuongezewa nguvu za vijana shupavu kama mimi
Kinachokusumbua ni roho ya Rushwa tu ndugu yangu.
Cjajua utaratbu wasasa ila huwa wanaohitaj izo kaz huwa wanafanya maombi wakiwa shule
Hii haijakaa vizuri hata kidogo, ukiwa shule unaomba kwa elimu ipi? ilihali hujamaliza, naomba Mungu isiwe hivyo maana hizi marks zangu zitaniweka sana mtaani nimepiga E ya Commerce E ya Economics masomo yaliyobakia baraza halikuona sababu inayowazuia kunipa F
Hata kwangu na wengine ni jipyaHili tangazo limetoka muda tu sema kwako ndo jipya mkuu