Nasikia hiyo ni kawaida sana kumezwa na misamaki mikubwa sana chewa etc huko deep sea,ila rahisi sana kutoka unatokea kwneye matezi bila lenyewe kujua!!kuna jamaa mmoja yuko pemba anasema huwa anastukia hali hewa ime change anajua hapa nimemezwa aanaanza kutafuta way out....na ametoka mara 3 sasa ni mazmiaji yuko pemba hoteli za kitalii