mkuu ntambaswala,nami niko tayar kufanya kaz popote,nina BSc in Human Nutrition,nipe dili kaka
Haya ni bora maisha kwa kila MtanzaniaAti ndo haya maisha bora kwa kila mtanzania?

una shahada ya fani gani mkuu.

una shahada ya fani gani mkuu.
^ ajira zipo kibao tu, barabara inayoongezwa hapa mbagala wanahitaji wachimba mitaro, pia kuna tenda kibao za kufagia barabara na kuchimba mabomba ya maji..wajenzi wa kufyetua matofali wanahitajika kibao..jamani, tuacheni usharobyror...twende kazi ndugu. Kazi zipo kibao.Nimechoka kukaa mtaani. Maisha magumu na ajira hazipatikani.
ka kujiajiri ni mawazo pekee naungana na wwe ila ka kunahitaji nyenzo na bongo hii tutalia na kusaga menoKwa system ya tz kuna elimu nyingine unaweza kupata still kujiajiri kukashindikana!
ya chuo gani???Nina diploma ya marketing

nina diploma ya marketing management

^ ajira zipo kibao tu, barabara inayoongezwa hapa mbagala wanahitaji wachimba mitaro, pia kuna tenda kibao za kufagia barabara na kuchimba mabomba ya maji..wajenzi wa kufyetua matofali wanahitajika kibao..jamani, tuacheni usharobyror...twende kazi ndugu. Kazi zipo kibao.

Nina diploma ya marketing

nataman hata izo kazi ndugu yangu tatizo ni afya yangu hadi mandazi na chapati nlikuwa napika vikanishinda pumu inanisumbua

kaongeze elimu mkuu.