Ajira:: Natafuta fundi pikipiki

Ajira:: Natafuta fundi pikipiki

McMoze

Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
49
Reaction score
8
Fundi anahitajika ktk karakana ya pikipiki.
Uwezo.
-Aweze kutambua tatizo (engine diagnosis) ktk engine. Awe na uwezo wa kutengeneza pikipiki aina zote.

Nitafute ktk no. O714-670308 au email; m_mtweve2006@yahoo.com
 
Back
Top Bottom