Kwani ulisoma ili ukipata kazi boss wako akulipe kwa sababu una elimu kubwa au unampatia matokeo kwenye biashara yake? Me nadhani mindset za wasomi na ambao si wasomi ziko opposite na mafanikio wanayotarajia, Mshahara haupimwi kwa ukubwa wa elimu pekee, unapimwa kwa ukubwa wa matokeo(impact), kazi ya boss si kurudisha ada uliyolipa kupata elimu ni kulipia matokeo chanya unayompa. Elimu ni kigezo muhimu cha kupata kazi lakini si kigezo pekee cha kukupatia kipato au kujipangia mshahara.