Emmilian paul
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 141
- 63
Mwezi Aug 2017 serikali ilitoa tangazo la ajira sekta ya afya na kuwataka walengwa watume maombi, lakini mpaka sasa hakuna tamko lolote juu ya hili. Hakuna kazi wala taarifa juu ya hili
Tuko mtaani tunashindwa kuchukua mikataba na mashirika binafsi sababu ya ajira za serikali..wao pia hawaeleweki ni lini wanatoa ajira,mtaa bila kazi ni ngumu sana
Tuko mtaani tunashindwa kuchukua mikataba na mashirika binafsi sababu ya ajira za serikali..wao pia hawaeleweki ni lini wanatoa ajira,mtaa bila kazi ni ngumu sana