Ajira mpya za Ualimu

Ajira mpya za Ualimu

victer

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
58
Reaction score
9
wana jf najitokeza kuuliza kwe yeyote mwenye taarifa ama tetesi za lini ajira za ualimu kwa ngazi zote zitatoka lini anijuze maana huku mtaani maisha yanakaba mpaka bhasi... ni hayo tu ndg zangun wana jf.
 
Ajira ni mpaka mwakani na Hakuna ajira za direct kama miaka mingine wakuu wa Halmashauri zenu watatupa mapungufu ya wilaya then tutaajiri kwa kufuata mapendekezo yao ..kama umesoma science basi toa hofu Ndugu
 
Kama ni sayans ucjal mwez april 2016 utapangiwa kituo chako cha kaz ila kama ni art umeumia tafata namna nyingne ya kuish usitegemee ajira serikalin walimu wanagawana topics kutokana na uwing wao.
 
Bado mapemaa saana.mjomba kua na subira...
Najua kitaa kinakaba ila ndoivo vumilia.. Mwaka jana nimehitimu July 2014 nmekuja kuajiriwa Mei mwaka huu...mwakaa juz ilkua April..
 
Kama ni sayans ucjal mwez april 2016 utapangiwa kituo chako cha kaz ila kama ni art umeumia tafata namna nyingne ya kuish usitegemee ajira serikalin walimu wanagawana topics kutokana na uwing wao.

mmepga science bro.... sema kitaa kinakaba mpaka inakua sio vzuri..
 
Ajira ni mpaka mwakani na Hakuna ajira za direct kama miaka mingine wakuu wa Halmashauri zenu watatupa mapungufu ya wilaya then tutaajiri kwa kufuata mapendekezo yao ..kama umesoma science basi toa hofu Ndugu

okey pouwa ndg, nmesoma science, najaribu kuulizia ili nipate matumain maana kitaa kinakaba sana...
 
Usikate tamaa Ajira zipo ila mpaka mwakani,maana kuna shule huko ndani ndani mpaka Leo zina walimu 3.
 
Mimi nimerepeat course semester hii vipi nitaajiliwa?Au niandike nimeumia wakuu.
 
Mimi nimerepeat course semester hii vipi nitaajiliwa?Au niandike nimeumia wakuu.

Uta ajiriwa, kuna jamaa yangu alikuwa na carryova semister ya kwanza mungu ni mwema alipangiwa tena mjini
 
Mchakato wa ajira kwa walimu naskia umeshaanza,kwaiyo kufikia January mwishoni tutakuwa na jibu kamili na ni kwa masomo yote ya sayansi na sanaa .chanzo,jamaa mmoja aliyekaribu na wanaofanya taratibu hizi wizarani
 
Back
Top Bottom