Ajira mpya za ualimu 2013

Ajira mpya za ualimu 2013

diaz

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
80
Reaction score
9
Political...! Political....! Political...! Everywhere is political...! Now adays, political is everything...! Let us wait because walishasema kwamba ajira mpya za ualimu zitatoka mwezi JANUARY. Kwa hiyo ndugu wapendwa ajira mpya zinatoka kesho......! Siyo maneno yangu but huu ndiyo ukweli wa serikali yetu...! Huwa hawajui kusema uongo, na hata katika hili basi wametutendea haki kwa kutuambia ukweli kwamba ajira mpya zinatoka mwezi january.....!
 
Poleni sana mnaosubuli ajira hizo za ualimu. Ndo nchi yetu hela za kuwaajiri ndo hizo Jk anaendea ulaya kubembea. Ila kwa hili simlaumu yeye bali wananchi tumekuwa wapole mno tukiangalia huu upuuzi ukiendelea wa kudanganywa na hela ya walipa kodi kuendelea kutumiwa vibaya. Kama watoto wa wapiga kura hawasomi kwa kukosa walimu Bunge linakaaa kufanya nini?
 
Walimu tuna hali ngumu na sisi tuna umuhimu
 
Mbona siku zote walimu ni wa kudanganywa tu,ukiangalia mshahara wenyewe mdogo....!nyie heshima yenu nikusalimiwa tu darasani,maneno ya kuwajali ni mdomoni tu sio kivitendo,poleni sana nawaonea huruma....!
 
Political...! Political....! Political...! Everywhere is political...! Now adays, political is everything...! Let us wait because walishasema kwamba ajira mpya za ualimu zitatoka mwezi JANUARY. Kwa hiyo ndugu wapendwa ajira mpya zinatoka kesho......! Siyo maneno yangu but huu ndiyo ukweli wa serikali yetu...! Huwa hawajui kusema uongo, na hata katika hili basi wametutendea haki kwa kutuambia ukweli kwamba ajira mpya zinatoka mwezi january.....!

kuwa mpole mkuu!!!!!!!! kafuge kuku wanalipa sana!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom