Mkuu niko pamoja na Wewe, siutaki tena huo upuuzi, niliomba mara tatu bila mafanikio, nikaamua ku-hustle kivyangu. Sitaki tena kuwa mwalimu.Wale graduates wenzangu tusiokuwa na muda na huo upuuz tujuane..tunao-hustle kivyetu vyetu
Mkuu niko pamoja na Wewe, siutaki tena huo upuuzi, niliomba mara tatu bila mafanikio, nikaamua ku-hustle kivyangu. Sitaki tena kuwa mwalimu.