Ajira mpya: Je hadi tunamaliza robo ya kwanza ya bajeti wameajiriwa wangapi?

Oct 8, 2017
28
117
Kulingana na bajeti ya Mwaka 2017/2018 zaidi ya watanzania 50,000 watapatiwa ajira rasmi.....je hadi tunamaliza robo ya kwanza ya bajeti wameajiriwa wangapi?Walioajiriwa wapo sekta zipi?
 
Mbona Serikali imeanza kuajiri? Au hamuoni wala kusikia?

Watu zaidi ya 2000 waomba nafasi za Utendaji wa vijiji 45 Kibiti.

PALE TRA Dar je? Au nazo sio ajira hizo pamoja na nyinginezo?
 
Juzi pia wameajiriwa mawaziri 2 na manaibu waziri 3.

Hapana kazi tu. Ndio kauli mbiu ya siri-kali.

Tumechelewa na kucheleweshwa kweri kweri, sasa ni mwendokasi tu.
 
Ajira wapi? Tunashughulikia viwanda kwanza,mtaajiriwa hadi mchoke na uvivu wenu wa kutojiajiri.
 
Ajira wapi? Tunashughulikia viwanda kwanza,mtaajiriwa hadi mchoke na uvivu wenu wa kutojiajiri.
 
Mbona Serikali imeanza kuajiri? Au hamuoni wala kusikia?

Watu zaidi ya 2000 waomba nafasi za Utendaji wa vijiji 45 Kibiti.

PALE TRA Dar je? Au nazo sio ajira hizo pamoja na nyinginezo?
Hujawaelewa hawa jamaa,ni hivi,wanataka ajira za kubeba mizigo ndani ya Tanzania ya viwanda.
 
Back
Top Bottom