Ni gharama kubwa kwa watoto wa walalahoi kwenda kufanyia interview/usaili Dar es Salaam. Hivyo wanakosa fursa hizo kwa sababu ya costs za usafiri, chakula na malazi Dar. Mfano. Mtoto toka Kigoma,Sumbawanga,Musoma,Katavi,Namanga, Bukoba nk.
Tunakuomba Rais wetu John Magufuli uamuru interview/saili zote za ajira za serikali na taasisi zake zifanyike Dodoma. Hapo ni katikati, jirani na gharama ya maisha ni rahisi sana kwa kila mwombaji hasa kwa watoto wa masikini.
Asante sana.