rebeca joseph
Member
- Apr 13, 2023
- 10
- 10
Mabumbe blog madame nazionaga mara kwa mara, uwe tu tayari kwenda Kigoma maana ndo hub.Habari za jioni ndugu zangu.
Naomba Masaada juu ya ajira za mashirika ya wakimbizi Tanzania zinatangazwa wap kuziona ili kufanya applications???
Nyingi ni za senior level. Ebu pitia pitia Website za IRC kwanza. Ila nyingi ni senior level. Au ujitoleeMabumbe blog madame nazionaga mara kwa mara, uwe tu tayari kwenda Kigoma maana ndo hub.
Sawa mkuu, asante.Nyingi ni za senior level. Ebu pitia pitia Website za IRC kwanza. Ila nyingi ni senior level. Au ujitolee
Tuliopo.kigoma wenyew tupo tu maan bila kuwa na watu mara nyingi utaishia kutuma maombiMabumbe blog madame nazionaga mara kwa mara, uwe tu tayari kwenda Kigoma maana ndo hub.
Hivi ni mm naona kujitolea imekuwa tabu kama kuomba kazi ama?Nyingi ni za senior level. Ebu pitia pitia Website za IRC kwanza. Ila nyingi ni senior level. Au ujitolee
Hii kitu amenambia mtu wa karibu sana kwangu huko kwenye kuhangaika, nikajua fix zake kumbe ni ukweli, ndio maan now post za kazi hakuna na baadhi wanapungz wafanyakaziKwa sasa mashirika mengi ya kuhudumia wakimbizi yanapitia ukata wa hali ya juu sana (bajeti imepunguzwa kwa 30%).
At the end of this September patatokea retrenchment ya wafanyakazi pamoja na project/operations mbalimbali.
IRC unajitolea hata kesho kigoma peleka barua hq pale mikocheni. Ila utaenda na nauli yako utakula kwa hela zako na kila kitu ni wew mwenyew. Uwe totally philanthropist 😅Hivi ni mm naona kujitolea imekuwa tabu kama kuomba kazi ama?
Sipo dar nipo kigoma, so.kupeleka baruda huko ni taabu..hawajali volunteers wao sio?IRC unajitolea hata kesho kigoma peleka barua hq pale mikocheni. Ila utaenda na nauli yako utakula kwa hela zako na kila kitu ni wew mwenyew. Uwe totally philanthropist 😅
Utakula nyassssss. Watumike email mana NGos kwa email ni very sensitive mana ndo njian yao kuu ya mawasiliano. Anzia linked in mana huko ndiko yalipojichimbia. Na hao wanaolike like taasisi huko linked in wengi ndio wafanyakazi wakeSipo dar nipo kigoma, so.kupeleka baruda huko ni taabu..hawajali volunteers wao sio?
Kwahiy kaka 😂😂 ww ushapitia hapo maan hio kula nyasi ulivoiandika dah😂😂Utakula nyassssss. Watumike email mana NGos kwa email ni very sensitive mana ndo njian yao kuu ya mawasiliano. Anzia linked in mana huko ndiko yalipojichimbia. Na hao wanaolike like taasisi huko linked in wengi ndio wafanyakazi wake
Hapana. Mm sijawahi hata kujitolea international rescue committee. Mm Niko kariakoo napiga uwinga tu mkono uende kinywani.Kwahiy kaka 😂😂 ww ushapitia hapo maan hio kula nyasi ulivoiandika dah😂😂
Najaribu tu kaka maan ndo nimetoma school.kichwa ya moto badoHapana. Mm sijawahi hata kujitolea international rescue committee. Mm Niko kariakoo napiga uwinga tu mkono uende kinywani.
Lakin kwa NGos ngazi ya volunteer na CHW huwa na Hali mbaya... Niliwahi kupeleka barua kuomba kufanya field hapo miaka kadhaa iliyopita. Kwa nn usiwekeze kwenye innovation?
Innovation kama zipi mkuuHapana. Mm sijawahi hata kujitolea international rescue committee. Mm Niko kariakoo napiga uwinga tu mkono uende kinywani.
Lakin kwa NGos ngazi ya volunteer na CHW huwa na Hali mbaya... Niliwahi kupeleka barua kuomba kufanya field hapo miaka kadhaa iliyopita. Kwa nn usiwekeze kwenye innovation?
Can you propose ways which is fruitfull in deliver health service in rural areas?Innovation kama zipi mkuu
Kaka hiyo ni Research + project planning as wellCan you propose ways which is fruitfull in deliver health service in rural areas?
Rural areas challenged by remoteness and scattered settlement. This go hand in hand with residents run along distance to find a primary health care. Then how to make genuine, relevant and cost effective way in Maintaining supply of health service to certain?
How to make them informed about the ongoing development policy interms of inclusion and settle scale?.Innovation kama zipi mkuu
You can adopt!. Hizo ndo fursa saasa. Kile ambacho hakiwezekan au kigumu watu ndo wanatoboa na kutafutwa sana. Alibaba ilikuwaga stori tu..Kaka hiyo ni Research + project planning as well
Inahitaj muda sana